Tuesday 7 May 2013

MTUHUMIWA WA KURUSHA BOM ARUSHA AKAMATWA

Aliyerusha bomu Arusha akamatwa: DEREVA wa pikipiki maarufu kama bodaboda, Victor Ambrose, anatuhumiwa kurusha bomu katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi, Parokia ya Olasiti jijini Arusha, lililosababisha vifo vya watu wawilina wengine karibu 70 kujeruhiwa.

1 comment:

  1. Hio ndo tz tusikiliziee kes yake itakua vipi?????????

    ReplyDelete